Friday 2 December 2016

DARASA LA SABA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KUDATO CHA KWANZA 2016/2017

94.8% Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2017

WANAFUNZI 526,653 sawa na asilimia 94.8 ya waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka huu, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani katika shule za sekondari za serikali katika awamu ya kwanza huku 28,638wakishindwa kupangiwa shule katika awamu ya kwanza.